God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Nikifungua data inakuwa slow sana lakini mitandao mingine kama Voda na Halotel zina speed kubwa mno.
Nimewapigia customer care Tigo na Airtel wakanitumia configurations mpya lakini tatizo lile lile, yaani nimekosa amani kabisa.
Natumie Xperia z3 na Lumia535. Cha kushangaza kwenye simu nyingine zinaspeed kubwa tuu hata kwa modem ya computer ila nikiweka kwa Xperia au Lumia zinakuwa slow sana.
Msaada please.