Sasa waweza kuangalia Star Tv 'Live' kwenye simu yako

Piro14

Member
Dec 6, 2015
86
93
Kupitia app ya zalunu
843e0a4e91d287c3d769de86a0d96f3b.jpg
 
Mbona hakuna sauti especially kwa hiyo star tv?, au kuna namna ya kuset?
 
Sauti ni tatizo wakuu lakini ukirudia rudia Ku stream ndo inakuja,hiyo ndo njia nayotumia mimi
 
Sawa mkuu na je ni software gani nzuri ambayo inaweza kuonyesha ligi ya nyumbani tanzania?
 
Back
Top Bottom