JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Kuna nyama moja ya Outlook hapa, email imetumwa kwenye conversation ya watu 8, ni mtu mmoja tu kati ya wale walioipokea email ndio ameweza kuona attachment ya word, wengine wote hawaioni. Tatizo linaweza kuwa ni nini hapo wadau?