mp4 ya ku burn kutocheza kwenye sony hometheatre

Lububi

JF-Expert Member
May 3, 2013
2,121
3,732
wataalam nisaidie. dvd ya music au movie original inakubali kusoma kwenye hii deki. lakin ukiburn mp4(dvd ya mizik) inakataa kusoma. na vcd ya kuburn inacheza bila tatizo.sasa nii burn kwa foramt gani ikubali kusoma hiyo mizik kwenye dvd ya kuburn kama inavyoisoma kwenye dvd original?
 
Home theater nyingi hazisomi MP4. jaribu kuangalia user manual yake uone kama kuna sehemu inataja supported format ndio ujue na upate uhakika zaidi kuhusu supported formats
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom