Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Naona jamaa wame update packages zao

Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)

Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.

# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#

Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.
 
Asante kwa taarifa....tafadhali tupe feedback
 
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda
 
Naona jamaa wame update packages zao

Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu)

Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu.

# ofa hii ni kuanzia saa tano usiku.#

Sijatest speed nasubiria saa tano ifike then ntaleta feedback.

jana nilitumia kwa modem ya huawei wireless spidi yao kwa modem inasoma 6 mbs na kwa IDM nikidownload ni 1 mbs
 
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda

airtel shida ni covarage yao mkuu.
kuhusu speed ndo tuna subir saa tano ifike tuone
 
Hivyo vifurushi viko vingi sana tatizo speed wanabana unakuta hata gb 2 hufikishi, vipi hao halotel speed ikoje, lakini bado airtel baba lao mia sita gb 10 ni sheeda

Unamaanisha MIA SITA au ELFU SITA? Nielewesha mkuu
 
Mi nimeshaunga tayari mapema nasubiri ifike saa tano niangalie speed Yao ikoje
 
Leo niliangalia vifurushi vya smart... Nikiwa impressed, nikawaza kuiweka hii sim card ya tigo kwenye wallet maana wameuzi sanaa na hii GB 5 ya usiku pack... Lakini naona kuna wazo la kwenda HALOTEL.. THANKS KWA TAARIFA MKUU...
 
Attachments

  • 1449691522257.jpg
    1449691522257.jpg
    40.8 KB · Views: 1,101
  • 1449691533239.jpg
    1449691533239.jpg
    41 KB · Views: 1,077
  • 1449691545872.jpg
    1449691545872.jpg
    49.4 KB · Views: 1,010
Hii sasa ndo ya kupakulia series zangu, hal hala wasiete ujinga wao wa kulimit speed
 
Leo niliangalia vifurushi vya smart... Nikiwa impressed, nikawaza kuiweka hii sim card ya tigo kwenye wallet maana wameuzi sanaa na hii GB 5 ya usiku pack... Lakini naona kuna wazo la kwenda HALOTEL.. THANKS KWA TAARIFA MKUU...

speed aminia hawa jamaa...nashusha just cause 3 hapa naona fasta tu inashuka...weka halotel tu mkuu
 
Oohh... Asante mkuu.... Naona tumepata pa kukimbilia ifikapo usiku... Halafu kuanzia saa tano hadi saa ngapi?... Tushazoea tigo hadi saa kumi na moja.. Halotel wanaweza tupa hadi saa moja hahahaha????
 
mpaka kumi na mbili mkuu...
 
Back
Top Bottom