Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,021
Wakuu, nina dish la azam hapa. Ila sijui kama nimelikoroga wapi.
Intersity ni 61% na quality ni 60%, ila inascrach sana na nikiongeza sauti ndo inazidi kukatika(scraching).
Wakuu tatizo ni nini? Nashindwa kuwaona wale "majamaa walioenda Dodoma kuongea na kupiga makofi" bungeni.