Nimepoteza Ipad, msaada jinsi ya kuipata

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,310
Reaction score
1,466
Nimepoteza leo hii asubuhi, ni Apple. Nina imei no yake, password ya kufungua na gmail a'/c yake. Lakini nilikuwa bado sijajiunga na icloud.
Naomba msaada toka kwa mwenye kujua namna ya kuipata
 
hiyo huipati kwanza aliyeiokota amefurahi sana kukuta haina icloud lock
 
kutoa sadaka mara mojamoja siyo mbaya mkuu
 
Nenda Polisi utasaidiwa! Hata mi nilipoyeza Samsung Galaxy Note II nikawasilisha IMEI kituo cha Polisi.
Polisi ilinisaidia hadi kunipa gari na askari kwa gharama zao kumfuata mhalifu tena mkoa mwingine.
 
Nenda Polisi utasaidiwa! Hata mi nilipoteza Samsung Galaxy Note II nikawasilisha IMEI kituo cha Polisi.
Polisi ilinisaidia hadi kunipa gari na askari kwa gharama zao kumfuata mhalifu tena mkoa mwingine.
 
Mh,itakuwa ngumu kamaulikuwa hujajiunga Na iCloud
 
tumia huduma ya find my iphone(ipad) kujaribu kuitrack. si wezi wote ni smart kujua kama kuna icloud na mambo mengine

tafuta kifaa chengine cha apple download app ya find my iphone eka details za ipad yako ujaribu kuitrack
 
Th
Nenda Polisi utasaidiwa! Hata mi nilipoyeza Samsung Galaxy Note II nikawasilisha IMEI kituo cha Polisi.
Polisi ilinisaidia hadi kunipa gari na askari kwa gharama zao kumfuata mhalifu tena mkoa mwingine.
Shukrani
 
Shukrani mkuu, nitajaribu
 
Nenda Polisi utasaidiwa! Hata mi nilipoyeza Samsung Galaxy Note II nikawasilisha IMEI kituo cha Polisi.
Polisi ilinisaidia hadi kunipa gari na askari kwa gharama zao kumfuata mhalifu tena mkoa mwingine.
Duh, basi tumeendelea! Nitazingatia ushauri
 
Nenda Polisi utasaidiwa! Hata mi nilipoyeza Samsung Galaxy Note II nikawasilisha IMEI kituo cha Polisi.
Polisi ilinisaidia hadi kunipa gari na askari kwa gharama zao kumfuata mhalifu tena mkoa mwingine.

Labda ulienda Polisi ya Ulaya lakini kama Polisi ya Tanzania,Huyu ndugu unamdanganya wazi-wazi na si rahisi apatiwe gari tena kwenda mkoa mwingine.Kama hukuweka Icloud basi ni ngumu kuipata na kama utaipata njoo hapa utufahamishe.
 
Back
Top Bottom