Msaada kwa mwenye link inayoelekeza jinsi ya ku unlock Huawei Modem E303-HiLink ya Airtel

MALISA92

Senior Member
Aug 29, 2013
148
56
Wakuu nakumbuka kama, kuna mtu alishawahi kupost jinsi ya kuchakachua hizi modem za Huawei e303 hiLink ambazo hazina dashbord ile inayotumika ku connect kama ilivyo kweny E173 na ZTE au modem nyingine bali zinatumia browser itakayokuwepo katika computer ili kupata sehem ya ku connect na ku disconnect....

ila sikumbuki procedures vizuri..sasa ili kuepeuka kuzika modem yangu nimeomba kama kuna anAyeweza kunipatia ile link au kunipa yale maelekezo tena. (Huenda nimekosea maelezo KIDOGO ila samahanini kwan me sio mataalam saana wa haya mambo)

Asanteni.
 
Back
Top Bottom