Jamani naombeni msaada
Niliibiwa simu ila mazingira yalikuwa hivi. Nilimpa mdada lift kwenye pikipiki alivyoshuka kuja kucheki simu haipo. Sasa namba yake nilikuwa tokea siku nimpe lifti sijamwona tena.
Sasa naombeni kujua kwasababu namba yake ninayo siwezi kujua ni aina gani ya simu anaitumia??? Au hakuna app yakunisaidia?