Android application

Android application

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,116
Reaction score
5,119
Wadau ninataka kudowload application kwa ajili ya simu yangu lakini kila nikianza ku dowload inauliza ya kuwa itakuwa in access picha,call na SD yangu.Imekaaje hii?
 
Wadau ninataka kudowload application kwa ajili ya simu yangu lakini kila nikianza ku dowload inauliza ya kuwa itakuwa in access picha,call na SD yangu.Imekaaje hii?
Kwanza hujatuambia ni application inayohusiana na nini ili tukusaidie, maana application nyingine huwa ni lazima ziwe na access ya hivyo vitu na nyingine hazihitaji kabisa hata access moja, hayo ndio mambo ya Marshmallow
 
Back
Top Bottom