Zifuatazo ni android tricks ambazo labda hukua unazijua

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Ili kunjoy running of any OS, Kuijua na kua na uwezo wa kucheza nayo ni moja ya jambo muhim.
Ifuatayo ni makala fupi juu ya tricks 10 za kurahisisha matumizi yako ya android software
=======

Top ten tricks about android everybody should know

Android is a mobile phone operating system designed primarily for touch screen mobile phones. The first android phone was released in 2008 and currently around 44.62% of all mobile phone users are using android enabled smart phones. Due to ever increasing popularity of android phones, today we have decided to publish an article on android tricks.

So without taking much of your time, here are some android tricks that you will surly like.

1) Reboot Android Forcefully: There are times when android phone gets slow and doesn't responds to actions. In that case, you can forcefully reboot your android phone by just triggering some key combinations. To reboot your android phone, just press Power Key + Home Key + Volume Up Key Simultaneously.

2) Take Screenshots: Everyone knows that we can take screenshot on computer by pressing print screen key and pasting it on paint, but do you know that taking screenshot on android phone is lot more simple. You can take screenshot on your android phone, by just pressing power button and volume down button simultaneously. You will find your screenshot in gallery. Simple ,isn't it?

3) Android Version Animation: Don’t know your android version; here is a cool way to know your android version in animated form. To use this android trick, just go to Settings > About phone > Tab repeatedly on Android version, After sometime, your android phone version will appear in animated form.

4) Track Lost Android Phone: Google play offers an amazing feature to track your lost android phone. To track your lost android phone, just open android device manager, you will see a map with your current android phone location. You can also ring or format your lost android phone using this trick. One thing to note that, this trick will not work, In case lost mobile isn't connected to internet.

5) Format Your Android Phone: You can format your android phone in 2 ways.

Factory Reset: Factory reset will reset your android phone to factory level. All the settings and internet data will be lost. To factory reset your android phone, just press *#*#7780#*#*.

Hard Reset: Hard reset will delete all data including internet and external storage data. It will also delete all settings of your android phone. To hard reset your android phone, just press *2767*3855#.

You can read “How to reset android phone” to get more detail about android phone formatting.

6) Unblock Android Phone by Face Detection: Jelly bean version of android has introduced another handy feature by which you can unblock your android phone using your face.
To turn on face detection go to Settings > Screen lock > Face unlock.

7) Hide Files or Folder Using Android: This is one of the best android tricks, with the help of this android trick; you can hide file or folder without installing any third party android application. To hide any file or folders in android, just rename that file/folder and put a dot (.) at the beginning of file/folder name. Now on wards, the file or content of folder will not appear in gallery.

8) End Call with Button Press: Most of the time android users face problem while disconnecting calls, because they have to wait until screen wake up. You might not know but android provides a handy feature by which you can end calls using power button.
To turn this feature on, Just go to Settings > Accessibility > Power Button Ends Call and you’re done. Now onwards, you can end call using power button.

9) Switch Profiles Easily: You might not know but you can switch from General to Silent profile and vice versa very easily. To change your profile from general to silent, just press volume down button until phone volume turns off completely, you can switch from silent to general profile by pressing volume up button until volume turns on completely.

10) Root An Android Phone Easily: Rooting is a process of overcoming limitations that manufacturers put on android devices. It provides an ability to alter system applications and settings, read “How to root android phone” to root your android phone easily.
One thing to note, rooting will void manufacturer warranty.
 
Naomba kujua hasara na faida hapo # 5
Well faida ni kwamba hauhitaji external machine kama pc. Just you phone and good to go. Pear ni safe na haina matatizo.

Hasara ni kwamba kama hukuweza kubuck up data basi utapoteza kila kitu kwani sim itakua wiped kabisa to empty status
 
hiyo hard riset inamaana program zote zinaopotea au simu inakuwa ka mpya mkuu!?
Afu naomba jinsi ya kujiunga na watsup mbili kwenye simu moja!
 
hiyo hard riset inamaana program zote zinaopotea au simu inakuwa ka mpya mkuu!?
Afu naomba jinsi ya kujiunga na watsup mbili kwenye simu moja!
Hii hard reset ni kwamba itakeep app zilizokuja na stock firmware. Yani uliponunua sim au ulipoinstall firmware basi zile app zilizokuja nayo ndio zitakazobaki pekee. Zingine zote zitaondoka (ulizodownload wewe)
 
Sijaona jipya hapo
Dogo kwanza huna simu za Android ndio maana hujui lolote labda simu za tochi ambazo mwisho nazo sms
km unazo na unaitumia saidia hata majibu
203020.jpg

  1. simu yangu mm inarudia kuzionesha sms baadhi ambazo nimezifuta kitambo kwenye Android
  2. kwanini simu hizi ukiziweka kwenye mfuko wa shati ambalo linagusana na mwili zinaendelea kuoparate
  3. kwanini simu hizi ukitumia kalamu ai kijiti hazifanyi kazi?
  4. Mgunduzi wake ni nani?
Mkuu liljustine21 achana naye dogo bado yupo mbali mm nisaidie hii Button ya Home ni ipi? (ni ile ya katikati inayofungua zote ktk screen touch?)
ust press Power Key + Home Key + Volume Up Key Simultaneously.
 
Dogo kwanza huna simu za Android ndio maana hujui lolote labda simu za tochi ambazo mwisho nazo sms
km unazo na unaitumia saidia hata majibu
203020.jpg

  1. simu yangu mm inarudia kuzionesha sms baadhi ambazo nimezifuta kitambo kwenye Android
  2. kwanini simu hizi ukiziweka kwenye mfuko wa shati ambalo linagusana na mwili zinaendelea kuoparate
  3. kwanini simu hizi ukitumia kalamu ai kijiti hazifanyi kazi?
  4. Mgunduzi wake ni nani?
Mkuu liljustine21 achana naye dogo bado yupo mbali mm nisaidie hii Button ya Home ni ipi? (ni ile ya katikati inayofungua zote ktk screen touch?)
ust press Power Key + Home Key + Volume Up Key Simultaneously.
mkuu pole sana na naomba nikupe majibu ya maswalii yako kama ifuatavyo (ila samahani majibu mengine mpaka nijue state ya simu yako so ntakuuliza maswali machache)
1. sim yako kurudia SMS naomba kujua je unatumia original app ya sms ama umetumia ya kudownload kama messenger?
2.Well kwa devices kama Techno kurun ikiwa ndani ya pocket ni kitu cha kawaida. ila sim za High end devices zina option ambayo unaset kua sim ijue saiv iko mfukon ( unapoiweka unaiflip screen itazame upande wa ngozi yako.
hapo ukishaseti hivo hatagusture kama flip to mute ama double tap to answer zinakua dis abled
3. well tofauti na sim kama FoMe ama zile nyingine ambazo zinaitwa bora liende izi sim zinatumia screen zenye technolojia ya capacitive na hii screen inakua coated na conductive material, na kwa sababu miiliyetu ina conduct electricity hii inasaidia kuweza kumeasure wapi sim imetouchiwa na kureact.
sometime pia ukitouch na kijiko inafaa au any metal inayoconduct umeme.
Na kwa high end devices kama samsung s5 note 4 na zingine unaweza ukaongeza touch sensitivity na ukawa na uwezo wa kutouch na chochote kile iwe kalamu penceli kijiti hata kitambaaa.
4.So far mpaka sasa mimi nafaamu ni GOOGLE ndo source provider ila invertor hapo mpaka nikagoogle.

natumai nimekujibu boss
 
hiyo hard riset inamaana program zote zinaopotea au simu inakuwa ka mpya mkuu!?
Afu naomba jinsi ya kujiunga na watsup mbili kwenye simu moja!

boss katika kuchunguza nimekuta mpaka sasa bado hawajatoa Update ya whats app yao OGwhats app so tusubiri
 
Kaka naomba unisaidie maelekezo ya kuindoa hii msg kwenye simu UNFORTUNATLY ANDROID PROCESS HAS STOPED imekuwa ikijitokeza mara kwa mara mpaka nashindwa kufanya mambo mengine
 
Kaka naomba unisaidie maelekezo ya kuindoa hii msg kwenye simu UNFORTUNATLY ANDROID PROCESS HAS STOPED imekuwa ikijitokeza mara kwa mara mpaka nashindwa kufanya mambo mengine
Kuna app inacrash jaribu kujua ni app gani unistall it na itakua sawa
 
Nilikuwa naitest ile aplication ya kuitrack simu sasa kila nikijaribu kui unstall kwa njia ya kawaida kea kuifuata kwenye manage your application ninapoifungua sasa yale maneno ya force to stop na unstall hayafanyi kazi nikajaribu kwenda sehemu nyingine na kui unstall inakaniambia siwezi kwa kuwa aplication hiyo imekuwa administrator
 
Back
Top Bottom