Nifanyaje kuipata simu (smart phone) niliyoibiwa?

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,796
Habari wana JF,

Naomba mnisaidie mbinu za kufanya ili niweze kuipata simu yangu aina ya SAMSUNG NOTE 5 niliyoibiwa leo usiku.

Msaada tafadhari.
 
1. Toa taarifa mapema sana Polisi. Inaweza ikakutwa eneo lingine la tukio na ikakuletea shida.
2. Polisi haphapo utapata maelekezo ikiwa ni pamoja na details mbalimbali watakazohitaji ili kui-trace. Note: ukiwa na IMEI kazi itakuwa rahisi sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Nashukuru, niko niani kwenda Polisi.
IMEI ipo mabali kidogo, ni lazima nisafiri kwenda kuipekenyua.
So nafanyaje ili hiyo IMEI itumike niipate?
 
Kosa lako hiyo simu hukujianaa kuibiwa, simu ya kisasa kama hiyo mtu akiniibia labda akatumia nchi nyingine baada ya kuiflash lakini ukiitumia bongo lazima nikutie mkononi.
 
Msaada kiongozi. Nifanyeje ili niipate. Ndio faida ya kuwa JF
 
Nashukuru, niko niani kwenda Polisi.
IMEI ipo mabali kidogo, ni lazima nisafiri kwenda kuipekenyua.
So nafanyaje ili hiyo IMEI itumike niipate?
Wapigie tigo customer care wape taarifa kua umeibiwa simu unataka kujua imei number yake. Ukiwatajia namba yako ya simu iliyokua inatumika kwenye hyo simu watakutajia imei number.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wapigie tigo customer care wape taarifa kua umeibiwa simu unataka kujua imei number yake. Ukiwatajia namba yako ya simu iliyokua inatumika kwenye hyo simu watakutajia imei number.
Thanks, hope the same inawezakana pia kama nikiwapigia Voda.?
 
Yah inawezekana ukiwaeleza vzr mkuu..wakikataa ni wamekubania tu bt i hop hyo number huja renew bdo coz kama ume renew itasoma imei ya simu ya sasahiv unayotumia. Tumia simu nyingine kuwapigia watajie ile namba yako iliyopotea na simu watakutajia imei number
 
Noted. wamenisomea mkuu.
Ila tatizo ni kuwa nilisha-renew simu na SIM line ikawa imetumika kwenye simu-set nyingine.
wameniambia kama IMEI sio yenyewe niende TCRA wao wanaweza toa msaada zaidi.
Thank you very Much.
Naendelea kupambana.
 
Kuipata hiyo simu ni mzunguko mrefu kuliko kusahau maumivu na kununua nyingine.
Pole sana kwa kuibiwa, wezi sio watu wazuri.
Wana bore-wameniweka off kabisa. Kuanza upya sasa hivi na kwa kuzingatia huu usawa, ni kimeo.
 
nahisi wanaweza kusoma IMEI ya nyuma kidogo au kujua line yako imetumika kwa IMEI ngapi na mpaka tarehe ngapi,ninachojua sever zao hubakiza hizi taarifa mpaka minara inayotumika...from there unaweza pata IMEI ya simu husika ,uliyoipoteza...sema hii ita hitaji customer care muelewa...kuna jamaa huwa yuko voda pale mlimani kichwa yake iko vizuri
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Daa note5 pole sana mkuu pole sana mm niliibiwaga huawei p 7 sikuw na amani note 5 mzik mwingine
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom