Nitawezaje kuirudisha simu yangu iliyoibiwa ?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,263
Reaction score
25,535
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka inaweza kufanikisha kuipata au kuizima Kwa kutumia hizo namba IMEI au njia nyingine?

Nawasilisha.
 
Wadau hii post haijafika mbele zenu au ndo mmechemka?
 
Daa, hiyo kali mkuu nitashindwa.
 
ungekuwa ume-install mobile tracker ungeweza kuipata kwani ingekutumia message kwa namba ambazo ungezi-select but hivi hivi am not sure labda waje wataalam
 
Simu aina gani?

Kama ni ina run android na hukuweka app yoyote ya kutrack simu yako basi hesabu maumivu tu mkuu
Bongo huwezi kuipata
 
Niliweka mobile tracker inayonipa taarifa kwa namba kadhaa but mpaka leo sijapata msg yoyote kama namba imewekwa namba mpya.
 
Simu aina gani?

Kama ni ina run android na hukuweka app yoyote ya kutrack simu yako basi hesabu maumivu tu mkuu
Bongo huwezi kuipata

Huawei Y530 na ilikuwa na 360 mobile security ambayo ilikuwa active ila haijatuma ujumbe mpaka leo na ilikuwa on kwenye internet mpaka ilipoibiwa.
 
downloaded apps toka playstore za ku track simu hasisaidii kitu kama aliyeichukua ni mjanja, kwa maana android zote zina hard reset ambayo inafuta kila kitu hata kama cm uliweka password na app ya aina gani vyote vitatoka na inarudi kama mpya, na mwizi anaendelea kuitumia kama kawaida,. simu kiboko ni za apple ukiweka account ya icloud kuna uwezekano mkubwa wa kuipata au kumfanya aliyeeiba asiitumie kabisa..

conclusion, mkuu we nunua tu nyingine au omba aliyeeiba awe mshamba aweke line yake kabla ya kui reset...
 
niliipata simu yangu na waliiba saa moja usiku wakaiflash saa nne asubuhi wanatumia na nikaipata wewe kama unaijua IMEI namba nenda polisi wakupe kibali cha kwenda kwenye ofisi za mtandao unaotumia wakuangalizie nani anatumia hiyo simu wala usiogope unaipata kilainiii.
 
polisi wanamkamata sasa huyo anayeitumia ndio atasema nani amemuuzia
 
niliipata simu yangu na waliiba saa moja usiku wakaiflash saa nne asubuhi wanatumia na nikaipata wewe kama unaijua IMEI namba nenda polisi wakupe kibali cha kwenda kwenye ofisi za mtandao unaotumia wakuangalizie nani anatumia hiyo simu wala usiogope unaipata kilainiii.

Kwa hiyo mkuu imei ndo namba mhimu ya kuhifadhi??, kuliko njia nyingine yoyote?
 
Wakuu asanteni sana kwa feedback zenu nzuri, kesho kwa neema ya Mungu naanza mguu na njia mpaka central police.
AU nianzie wapi maana niliibiwa maeneo ya kunduchi.
 
niliipata simu yangu na waliiba saa moja usiku wakaiflash saa nne asubuhi wanatumia na nikaipata wewe kama unaijua IMEI namba nenda polisi wakupe kibali cha kwenda kwenye ofisi za mtandao unaotumia wakuangalizie nani anatumia hiyo simu wala usiogope unaipata kilainiii.

Nawia vigumu kuamini haya unayoyasema mkuu
Hebu fafanua in details
 
Hata kama ume install app kutoka mbinguni ni ngumu kupata simu yako. kama aliyekuibia ni mjanja obvious ata flash/reset na kuwa kama imetoka kiwandani.

ungekuwa ume-install mobile tracker ungeweza kuipata kwani ingekutumia message kwa namba ambazo ungezi-select but hivi hivi am not sure labda waje wataalam

Simu aina gani?
Kama ni ina run android na hukuweka app yoyote ya kutrack simu yako basi hesabu maumivu tu mkuu
Bongo huwezi kuipata

Kwa kifupi bila msaada wa polisi na kuwa na hiyo IMEI namba huwezi kupata hiyo simu, ndio maana watu wengi wakiibiwa simu huwa hawaangaiki kuzitafuta sababu gharama za kuipata ni kubwa kuliko bei uliyo nunulia. Na vile vile kesi za simu huwa ni ngumu kuthibitisha nani ndio mmiliki wa simu

niliipata simu yangu na waliiba saa moja usiku wakaiflash saa nne asubuhi wanatumia na nikaipata wewe kama unaijua IMEI namba nenda polisi wakupe kibali cha kwenda kwenye ofisi za mtandao unaotumia wakuangalizie nani anatumia hiyo simu wala usiogope unaipata kilainiii.
Nivea akishapata kibali anatakiwa aende mitandao yote sio anaotumia, maana mwizi wa simu anaweza akaweka sim card ya mtandao mwingine
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ume install app kutoka mbinguni ni ngumu kupata simu yako. kama aliyekuibia ni mjanja obvious ata flash/reset na kuwa kama imetoka kiwandani.

This isnt always the case. Kuna avast anti theft, best in the market. Hii ina rooted installation ambayo hata hard reset ya phone haiiaffect. Though it can be compromised by flashing the ROM, the technical know how inayohitahika hapa ni nadra kukuta wabongo wanayo.
 
Kuna mtandao mmoja wanataka 150000 hii imekaaje wadau?
 
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka inaweza kufanikisha kuipata au kuizima Kwa kutumia hizo namba IMEI au njia nyingine?

Nawasilisha.

ngoja nikuambie,
apps IPO inaitwa android lost,sifa zake;
1.una iseti simu hyo itumie laini utakazo wewe,mfano iwe inatumia laini yako; means ukiweka laini mpya haiwezi fanya kazi.
2.kuna sehemu ya ku activate mtu mwenye mamlaka ya ku unstall hyo apps uwe wewe tu,hata ukiflash haitoki.
3.ina uwezo wa kusoma mtaa,hadi nyumba simu yako ilipo.
4.inauwezo wa kusoma calls zote zinazoingia. etc for more info itafute kwenye play store.
 
Eeh bana poa but ishaibiwa tayari ila itabidi hiyo app nitumie kwa simu ntakayopata.
But asante kwa wazo zuri.
 
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka inaweza kufanikisha kuipata au kuizima Kwa kutumia hizo namba IMEI au njia nyingine?

Nawasilisha.
If you have lost your mobile phone or if its stolen, then you can recover it or at least block it if you know the IMEI number of the phone.

The procedure to get back the stolen mobile phone will take some time so you must be patient. First you need to go to the police station in your area and file a FIR that your mobile phone is stolen.

Then take the copy of this FIR and the IMEI number of your phone and contact the service provider of your phone. They will then help you track the mobile phone location.

They will also block the mobile phone, making it useless until it is found. Once you find it, you can request your service provider to white-list it again.

This procedure will work even if the SIM card of the phone is changed because all service providers use the same blacklist database.

How this works? You probably already know that each mobile phone has a unique IMEI number. Whenever a mobile phone is switched on, this IMEI number is sent to Equipment Identity Register database. This database categorizes each phone in one of three categories: while listed, grey listed and black listed.

Your mobile service provider can block any mobile phone by putting its IMEI number in the black list. Once blacklisted, a mobile phone is useless as it cannot be used at all.

Your operator can also track the exact location of the mobile phone using its IMEI number using the Global Positioning System, thus helping you find the lost or stolen mobile phone. However, since a lot of phones get stolen these days, mobile operators will track a phone from its IMEI number only in the case of some special situation.

Note that when you contact your mobile service provider to block the mobile phone with its IMEI number, don’t forget to ask them to block your SIM also.

Also note that there are some specific apps that help you track lost or stolen mobile phones. For example, check the anti theft alarm for Windows phone. There are similar apps available for iPhone and Android phone as well and I will post reviews of these apps soon. Please post your comments below if you have any questions regarding tracking of lost or stolen mobile phones.
 
Back
Top Bottom