Naombeni msaada kuhusu hili tatizo

Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
492
507
Nimepiga window mpya jana katika PC yangu, lakini nashangaa toka nipige hyo window naletewa huu ujumbe baada ya kuingia internet nashindwa kuelewa nini tatizo, nimejaribu kutmia browser tofauti tofauti lakini bado tatizo liko palepale.
na katika website nlizoweza kuingia ni jamiiforum tu na facebook.
 

Attachments

  • Capture 5.PNG
    Capture 5.PNG
    58.4 KB · Views: 47
Mbona nashindwa kuusoma maandishi yamekua hafifu sana mkuu sipati maana ya huo ujumbe
 
Back
Top Bottom