[Msaada] Namna ya ku-install windows kwa kutumia flash

zaitmemee

Senior Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
186
Reaction score
40
Habari za leo wakuu, ninataka kudownload file la windows 8 kupitia torrent, lina ukubwa wa 3.77 GB. alafu niliweke kwenye flash, kisha ni install, naomba mnijuze nina hitaji kufanya nn ili nifanikiwe katika hili, natanguliza shukran
 
Ulishawai kupiga window kwenye Pc au unataka kujifunza?
 
Badilisha hilo file lako kuwa boot file...kuna thread kibao google utaona jinsi ya kubadilisha then saving location iwe hyo flash....hakikisha umetoa vitu vyako vya muhimu katika flash kwani inapojisave kwenye flash hufuta kila kitu na kuacha hyo boot file....all the best
 
Asante kaka
 
kama umeshadowload unaweza kutumia program kama power iso ili uweze kutengeneza flash kwa ajili ya kupigia window yaani ( usb bootable drive) , unachotakiwa ni kufanya yafuatayo
  1. kwanza file lako la window linatakiwa liwe kwenye iso ili uweze kutengeneza hiyo flash
  2. then una run hiyo program(power iso) "as administrator" baada ya kuinstall
  3. alafu unaclick "tools" kwenye menu bar
  4. Then "create usb bootable drive"
  5. itakuletea dialog box nyingine ambayo utaweza kulocate file lako lilipo na kuchagua aina ya flash ambayo unataka kupigia window
  6. baada ya yote hayo then unaclick "start"
  7. itakapomaliza mpaka 100% itakua tayari kwa kupigia window
 
I appreciate sana bro. Asante.
 
Back
Top Bottom