Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

kuna mda unaweza kujiuliza uwa watu walio pewa mamlaka wanafanyaga nini katika majukumu yao.tumeona mamlaka nyingi zikiendesha kwa mazoea na moja yapo ni tcra kushindwa kusimamia makampuni ya...
1 Reactions
0 Replies
636 Views
Natafuta Line za Halotel (za chuo) nipo mwanza,mwenye kufahamu sehemu zinapopatikana maana nimezisaka sana ila sijafanikiwa kuzipata "ushirikiano tafadhali"
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, poleni kwa majukumu ya kujenga nchi. Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa, ninapenda kufahamu kutoka kwa anayejua aina nzuri ya camera kwa ajili ya video shooting, hasa inayozalisha High...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mida hii wadau, Sasa tupo kwenye Vunja bei ambayo huwezi hata amini,tunahost domain kwa specification hizi 1GB disk space 40GB bandwith Unlimited database Disk. Unlimited email lists...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wadau Habari za wikiend na poleni na misukosuko ya maisha, Ninahitaji laptop nzuri aina ya DELL yenye specification angalau hizi HDD kuanzia 500GB RAM 3-4 GB Processor 5i Na vingine kama kuna Mtu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya Marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko Poland. Tovuti hiyo iliyojipatia umaarufu na kuwa...
2 Reactions
75 Replies
8K Views
Za leo ndugu. Mwanzoni mwa mwaka 2013 nilipata message kwenye namba yangu ya voda kwamba your mobile number won 2000Pounds from NOKIA UK ANNIVESARY PROMO. Nilitumiwa hiyo message na +44... ambayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
9:00am - wake up, get the android on the side of the bed to check news on jamiiforum and millardayo; 9:20am - take a shower; 9:30am - track bugs from last night code; 10:30am - check todo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
1- Kali Linux It is a penetration testing tool which uses a variety of techniques just to check the limits of security policies and procedures. Kali Linux should be the part of every professional...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hiv inawezekana kwa kampuni ya sim kuzima mtandao fulani wa kijamii mf. Whatsapp bila kuadhiri mfumo mzima wa data. Nisaidieni kwenye hili wataalam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wajuzi wa na wapenzi wa PC games, mtakuwa mnajua kuwa kuingiza game kwenye pc wakati mwingine inasumbua ikiwa ni pamoja na kuleta baadhi ya maneno wakati wa kufungua au kuingiza game...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hallow, wadau mbona tunatumia windows phone hatupati app ya jf plz msaada kama Kuna linalowezekana Ili nasie tupate faidi jf....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar ya weekend jana nimenunua simu ya tecno L8 ndani ya box nimekutana na hii cable nilikuwa naitaji kujua matumizi yake
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wataalamu natumai muwazima wa afya. Naomba kufahamu kama ving'amuzi vya star times vinasehemu ya VGA??? Asanteni
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Wapendwa, Naomba kujua namna ya kuhamisha document toka desktop kwenda kwenye simu yangu- be it HTC, Huawei, Samsung Tablet and Mi note.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wana jf naomba kujua bei ya kioo cha samsung s3 full cha ndani na cha nje...maana kioo changu kimeharibika na jinsi nilivyoperuzi nimegundua kuwa ata mimi naweza kuitengeza mwenyewe hivyo kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Windows 7 imekubwa na nn wakuu yani kuna virus anakula port na hakamatiki tatzo ni nn wataalam tujuzane
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauliza naweza pata kwa bei gani na wapi mi niko mwanza graphic card ya asus f8s series 1GB NVIDIA 9650GT VGA GRAPHIC CARD G96-650-C1 for asus f8s series
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Htc desire 616 Screen touch hairespond kabisa. Sony xperia P LT 22i Ukiwa unaicharge haiingizi chaji,inaweza ikajaa lakini ghafla inaashoot down to 0%. Nadhani tatizo ni battery au charging...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nashukuru sana maana nimefanikiwa baada ya kuchukua nashauri yenu nimeyafanyua kazi na sasa nimefanikiwa Ku install windows tayari na enyoy,,ila kama kuna MTAALAMU Naomba msaada wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…