Msaada, Video Shooting Camera (HD)

Msaada, Video Shooting Camera (HD)

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Wakuu, poleni kwa majukumu ya kujenga nchi. Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa, ninapenda kufahamu kutoka kwa anayejua aina nzuri ya camera kwa ajili ya video shooting, hasa inayozalisha High Definition videos. Natanguliza shukrani. Camera hiyo ni ambayo itakuwa kwa ajili ya TV Program productions.
 
mkuu mambo ya video production camera zake nzuri zinaanzia milioni kadhaa ungetaja budget ingekuwa rahisi mtu kujua aanze wapi
 
million mbili hadi tatu mkuu.
cheki hii panasonic GH3
Z-panasonic-gh3-beauty-s.JPG

-inarecord 1080p kwa 60fps bitrate kubwa kabisa 72mbps
-ni mirror less camera na inakubali almost lens zote
-inaport ya mic, headphone na display ya oled 3inch hivyo ukiwa site hutabeba vitu vingi
-battery inayoshoot 3 hours na zaidi mfululizo na haina limit ya video ni uwezo wako tu wa memory card.

bei ni around dola 800 hadi 900 hivi inafit budget yako kiasi kinachobaki invest kwenye mic nzuri, lens nzuri, headphone na memorycard kubwa yenye speed nzuri.

angalia na kazi zilizofanywa na hii camera
Videos in "Panasonic GH3 User Group" on Vimeo

ila mimi si mtaalamu sana wa video production nimefanya tu research fupi online nikaona hio ndio best

cheki na review zake amazon utapata mwanga zaidi

amazon.com/Panasonic-DMC-GH3K-Digital-Single-Mirrorless/dp/B009B0WREM/ref=sr_1_2?ie=UTF8&qid=1471114154&sr=8-2&keywords=panasonic+gh3

copy link paste kwenye browser nimeshindwa kulink amazon
 
Back
Top Bottom