Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Natafuta Line za Halotel (za chuo) nipo mwanza,mwenye kufahamu sehemu zinapopatikana maana nimezisaka sana ila sijafanikiwa kuzipata "ushirikiano tafadhali"
Wanaosajili laini wanaweza kukusaidia ila watakufanyia intaviuu kwanza na test ya maswali matano ya chuo.
Ukifeli ndio basi tena.
ha ha ha ha haWanaosajili laini wanaweza kukusaidia ila watakufanyia intaviuu kwanza na test ya maswali matano ya chuo.
Ukifeli ndio basi tena.