Naomba kujua bei ya kioo cha Samsung S3

Naomba kujua bei ya kioo cha Samsung S3

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,719
Reaction score
14,847
Wana jf naomba kujua bei ya kioo cha samsung s3 full cha ndani na cha nje...maana kioo changu kimeharibika na jinsi nilivyoperuzi nimegundua kuwa ata mimi naweza kuitengeza mwenyewe hivyo kwa mliopo karibu na maduka uko kariako naomba mnijuze bei au kama una duka nielekeze unitajie na bei ikinifaa nije kununua
 
Andaa 150
 
Yarabiiiiii kumbe ni bei hivyo?
Mimi yangu ilikufa nikaitupilia ndani kwa hasira.
Na ilikuwa mpyaaaaa...Kioo hakina crack kabisa.
Leo ningejipia pesa aiseee
 
dada kama kweli unayo hiyo mbovu nipm namba yako please...nina shida kubwa na disply
 
Back
Top Bottom