Windows phone na application ya JamiiForums

Windows phone na application ya JamiiForums

p_prezdaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
435
Reaction score
60
Hallow, wadau mbona tunatumia windows phone hatupati app ya jf plz msaada kama Kuna linalowezekana Ili nasie tupate faidi jf....
 
Tatizo Mimi naitumia hiyo tapatalk lakini sipati notification yoyote mfano quotes like n.k nifanyeje ili iwe inaonyesha
 
kweli,nasi tunahitaji App ya JF kabisa kwani watumiaji wa window phone tu wengi humu ndani. Tapatalk haina radha
 
kweli,nasi tunahitaji App ya JF kabisa kwani watumiaji wa window phone tu wengi humu ndani. Tapatalk haina radha
Ni kweli kabisa hata muungwana pia sema chief mkwawa aliwahi nielekeza nitumie Rss Ili niweze pata update ya muungwana Na mengineyo but nilishindwa Kama Kuna kwenye. Uelewa atuwekee Na hiyo kitu hapa ILA tukumbushane Na vitu vizuri kwa window phones wadau
 
Back
Top Bottom