Mrejesho: Tatizo la windows installation

Mrejesho: Tatizo la windows installation

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wakuu nashukuru sana maana nimefanikiwa baada ya kuchukua nashauri yenu nimeyafanyua kazi na sasa nimefanikiwa Ku install windows tayari na enyoy,,ila kama kuna MTAALAMU Naomba msaada wa Kudounload Games katika laptop yangu
 
Namba Mwongozo nianze wapi Ku download Games kama **Call of Duty modern warfare** na nyingine za ki vita
Naomba msaada wataalam
 
Kuna vifiles ambavyo naambiwa natakiwa Ku download kila Niki comand
 
Back
Top Bottom