Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,760
- 37,366
kuna mda unaweza kujiuliza uwa watu walio pewa mamlaka wanafanyaga nini katika majukumu yao.tumeona mamlaka nyingi zikiendesha kwa mazoea na moja yapo ni tcra kushindwa kusimamia makampuni ya mawasiliano ambayo yamefanya hapa shamba la bibi sasa tanzania.kunakuwa akuna aja ya kuwa na msimamizi wa jambo fulani wakati watu wanafanya mengine.huduma za mawasiliano kwa tanzania zimekuwa za kibabaishaji sana kutokana na hakuna wadau ambao watalalamika kwa maswala haya.usimamizi wa uendeshaji kwa makampuni ni mbovu upelekea sasa kufanya wanayo taka.kama huduma za internet,miamala,mawasiliano.