Naomba msaada wa Tatizo la virus kwenye Window 7

Eboy

Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Windows 7 imekubwa na nn wakuu yani kuna virus anakula port na hakamatiki tatzo ni nn wataalam tujuzane
 
Maelezo hayajitoshelezi, ni vigumu kupata msaada
 
Sahv kwenye windows 7 nying kuna virusi anaingia ukiweka flash inakuwa haisomi ila mashne ina detect kuna ktu kimewekwa ila hutaona ktu
 
Update driver zako kwa internet au tumia online driver pack itasoma.
 
Back
Top Bottom