WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,466
- 1,558
Habari wakuu.
Mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa 11 sasa nimeona niulize kwa wataalam kama naweza vipi kutengeneza kadi za mwaliko na mchango na nizisambaze kwa njia ya WhatsApp maana ndugu na marafiki wengi wako WhatsApp,je nitumie njia gani kutengeneza kadi za mwaliko na nizisambaze kwa njia ya WhatsApp?