Mwenye experience na samsung j2

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,120
7,912
Habari JF...ambae ashawai tumia j2 ikoje??? Apart from its known au common specifications e.g 4gb....naomba kujuzwa...
 
ubora kwa maana ya build quality ni nzuri na range ya bei ni 275,000 inaweza shuka kidogo au kupanda kidogo.

ila kuna version ya 2016 ambayo ni nzuro zaidi itaingia madukani muda si mrefu sema sidhani kama itakuwa bei hio hio
Anha thank u
 
Mie ninayo j2..Iko Pouwah xaana... Samsung wako poa saana
Ya 2015 au 2016???? Vepee kune camera???? Sema me naonaga samsung kune camera cjui inakuaje yan kadri version mpya znavotolewa bas za nyuma quality ya camera inazd kufifia
 
Samsung j2 inanisumbua sana kwenye internet jamani naomba mwenye uzoefu anisaidie pia katika hili pia
 
Back
Top Bottom