Os gan ilikuwa b4 ni ambao ndo unataka uitoe?? tatizo Driver hazionekani easy to fix itNaomba msaada hili tatizo limenikuta ni baada ya kugundua kuwa nimepandanisha windows sasa nimeanza upya Ku install nifanyeje au kama Windows zikipandana
View attachment 380216
sio vibaya but njia yakwanza naeza kukusaidia ni jaribu kubadirisha windo test ingnw yenye bits tofaut or hata kazkiwa bits sawa cdhan ka ina ubaya sanaaa ikigoma ka una vitu vyako itabid uviweke sehem nkupe njia ya kui wipe yote kabsa ibaki tupu ka kuna partition ztaftika irud kuwa moja then utaweza kuiona partition ya kuformat but njia zipo nying anza naio yakubadilisha windows booting cd or usb booting driveWindows 7 na ninaiweka hyo hyo tena iliingia vby mkuu