Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Habari ndugu,
Nauliza kama Simu za Huawei ascend y300 Inawezekana ku update system? Kama inawezekana ni kwa njia gani kwani kwa njia ya kawaida ukisearch for updates unaambiwa no updates wakati updates zipo kama vile Lollipop, marshmallow.