geranteeh
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 268
- 649
Heshima yenu wakuu. Siku ya jananlikua natumia pc yangu kweny internet sasa bahati mbaya ikachange na kuonesha blue huku kuna maandish ya hard drive ikakaa mda sana nkaamua kuizima. Sasa kazi ikawa kweny kuwasha haiwaki na nkienda kuirekebisha sehem ya hard drive inaniambia hard drive not found. Nashindwa kuelewa na research yangu na kazi nynginezo zipo humo msaada wenu wakuu nini cha kufanya