Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada hapo tafadhari file la total video covernt now nikicki halufunguki wananiambia please register your total video covernt
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Habari ndg wanajamvi Leo hii nimehama nyumba kwaajili ya kuchange mazingira hivyo nikawa nimefungua dish langu la startimes sasa katika kulifunga tena upya nimejaribu kusearch channel lakini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar za mda huu, aliyewah kutumia vodacom power tab 10 is it worth to buy?
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wataalam wa IT, msaada jamaan nimeweka ads kwenye website lakin inaonesha blank. Sijui nini tatizo
1 Reactions
3 Replies
689 Views
wakuu nifanyaje ili niweze kuupgrade hyo simu to lollipp?
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Jamani naombeni msaada tafadhali, nina samsung yangu S3 kwa muda mrefu nilikuwa nikitumia mtandao wa tigo nikiwa Dar. Nilipotoka Dar kuja mkoani tigo ikawa inanisumbua internet haipo vizuri...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Simu inaonyesha mistari ya ajabu ajabu inayobadilika badilika, ni techno! Je nini suluhisho lake wadau
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Samahan kwa anaejua faida na hasara za kuroot simu bila computer anijuze. Simu yangu ni it1505 lollipop.
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
2 Reactions
4 Replies
2K Views
1.Nauliza kama adapter ya laptop ikiharibika inaweza kutengenezeka? 2.Nina adapter haiingizi chaji kwenye betri ila inauwezo wa kupower computer, je tatizo ni nini na ntalifix vipi? 3.Simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza kama unawazo la kiteknolojia na unataka kujua kama hicho kitu kilishagunduliwa na mtu unafanyaje kujua
0 Reactions
1 Replies
878 Views
hivi hizi xposed apk ktk android si huwa na virus.... maana mfumo mzima wa kuroot na kuingiza xposed apk me nauogopa kabisa na kingine nnachokiogopa ni boot animation nilifuta neno tecno nikaweka...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Habari zenu wataalam.Simu yangu imeanza ku-misbehave.Kuna message ambayo nilitumiwa ya balance kama wiki mbili hivi zilizopita.Kila nikitumia USSD code zinaingia kama tatu kwa mpigo.Halafu pia I...
1 Reactions
3 Replies
796 Views
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Wadau habari Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona mko poa ndugu zangu wana jf.... mwenye uwezo na hili suala naomba anisaidie jinsi ya kubadili blogspot yangu na kuifupisha iwe na .com pekeake utundu wangu wote umegonga mwamba katika swala hili
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Huwa najiuliza ili kuweza kuwa na free Wi-Fi..... Mfano kwenye vyuo vyetu au maeneo yetu sehemu mbali mbali nini kinatakiwa kifanyike? Nchi zingine wamewezaje? Ni lazima serikali ishiriki? Wadau...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Accessibility Options : access.cpl Add Hardware : hdwwiz.cpl Add / Remove Programs : appwiz.cpl Administrative Tools : control admintools Automatic Updates : wuaucpl.cpl Wizard file transfer...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Jinsi kupata free domain bila kulipia msaada!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…