whizzkid
Member
- Oct 30, 2013
- 58
- 5
1.Nauliza kama adapter ya laptop ikiharibika inaweza kutengenezeka?
2.Nina adapter haiingizi chaji kwenye betri ila inauwezo wa kupower computer, je tatizo ni nini na ntalifix vipi?
3.Simu yangu inaniambia low space lakini nkijaribu kufuta vitu space haiongezeki, naombeni mnisaidie nifanyaje?