Mwenye number 0719949494 Mwizi wa simu

Mwenye number 0719949494 Mwizi wa simu

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa simu akawa anababaika,leo siku nzima amezima simu.Wana JF Tunamsaidiaje uyu rafiki
 
Nenda Polisi kawape maelezo uliyotoa hapa.
Ova
 
Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa simu akawa anababaika,leo siku nzima amezima simu.Wana JF Tunamsaidiaje uyu rafiki

Ukijaribu kutuma hela kwa namba hiyo unaletewa jina Sof..... Nga.....nga
Mtafute kwenye Mobile locator ujue anapatikana eneo gani bongo hii
 
Tokea october 2014 mpaka leo, Mkuu inauma lakini tugange yajayo.
 
Ukijaribu kutuma hela kwa namba hiyo unaletewa jina Sof..... Nga.....nga
Mtafute kwenye Mobile locator ujue anapatikana eneo gani bongo hii
Mkuu hiyo mobile locator inakuaje hebu nijuze nami nimusamke mbaya wangu
 
Wewe dada acha tabia yako mbaya ya kuja kuweka namba yangu ya simu huku mitandaoni!!!
 
Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa simu akawa anababaika,leo siku nzima amezima simu.Wana JF Tunamsaidiaje uyu rafiki
Sasa umeamua kumdhalilisha hapa Jf au ni ili akusome akurudishie Hujaeleweka
 
Back
Top Bottom