anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 641
hivi hizi xposed apk ktk android si huwa na virus.... maana mfumo mzima wa kuroot na kuingiza xposed apk me nauogopa kabisa
na kingine nnachokiogopa ni boot animation
nilifuta neno tecno nikaweka vitu vyangu tu
baada ya mwez simu nimeflash hahahaaa bootanimation noma
na kingine nnachokiogopa ni boot animation
nilifuta neno tecno nikaweka vitu vyangu tu
baada ya mwez simu nimeflash hahahaaa bootanimation noma