Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Jamani naombeni msaada tafadhali, nina samsung yangu S3 kwa muda mrefu nilikuwa nikitumia mtandao wa tigo nikiwa Dar.
Nilipotoka Dar kuja mkoani tigo ikawa inanisumbua internet haipo vizuri nikaamua kununua Lain ya HALOTEL.
Cha kushangaza nilipoipachika kwenye simu yangu inaniandikia emergence call hata nikiweka voda na mitandao mingine
Na cha kushangaza mimi hii simu yangu siyo ya promotion kutoka mtandao wowote,
nahitaji utatuzi wa tatizo langu wanajamvi.