Msaada tafadhali.

Msaada tafadhali.

Chemtrail

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
827
Reaction score
442
Habari zenu wataalam.Simu yangu imeanza ku-misbehave.Kuna message ambayo nilitumiwa ya balance kama wiki mbili hivi zilizopita.Kila nikitumia USSD code zinaingia kama tatu kwa mpigo.Halafu pia I don't get through with any USSD code.Kila nikijaribu inakuja message "unfortunately com.android.phone has stopped."Finally mtu akinipigia napata message hiyo hiyo,na kwangu simu haiiti lakini kwake inaonyesha kwamba kwangu inaita.Nipeni msaada wajameni.
 
Kwanza hifadhi data zako mhimu the fanya factory restore.. Kwa kum8nya vol up batan na power key kwa pamoja.. Ikishindikana andaa elfu kumi mtafute mtaalam wa smartphone kwa bei hyo atakutatulia tatizo, yani hata mimi nitafute ukiweza
 
.Asante sana du,roho yangu imetulia.Nitafanya hiyo kazi kesho!
 
Utakapo testore usisahau pia kuweka tools za kurepear simu kama clean master na suala la updates za Operating System
 
Back
Top Bottom