Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ya majukumu wana JamiiForums, simu yangu imefuta namba za simu, message za whatssap na picture na mambo mengi. Naomba mtu mwenye kujua application ya ku-restore ya kuvirudisha vyote viweze...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
WAKUU. Ninaandaa document muhimu ambayo inahitaji kuweka yaliyomo (Table of contents). Nikiri kuwa mimi ni mtumiaji wa kiwango cha kawaida cha Ms office hivyo napata tabu kidogo katika hili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimekubali kuwa JF ni kisima cha maarifa. Napenda kutoa shukurani za dhati kwa wale walonisaidia kuweza kuweka yaliyomo (table of contents) kwenye makala yangu. Ni jana tu niliweka post...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Wakuu kama kuna mtu anatumia internet ya TTCL naomba anipe speed yake hasa ya 3G ambayo hapa DSM ipo pia nimekua napata shida kwenye ku stream hasa mpira kwa sababu naona halotel wamenisaliti au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari za jioni wakuu ? naomba mwenye kujua jinsi ya ku add biss key kwenye receiver ya azam anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
As I was surfing around I saw this article and thought I should share and hear your views on it Cowboy Coders are programmers who write code according to their own rules. They may be very good...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Mara kwa mara simu hii aina ya nokia x ina display maneno haya "Can't do this com.android.phone at the momment.'' Halafu inakata net na kujiwasha (simu haizimi ila network inapotea hala inatokea...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Mtu anae jua kuunda Windows image na kama kuna software ya kutengenezea mniambie nitashkuru
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Msaada please, Ndgu wanajamvi simu yangu napata tabu inakataa kusoma line za mitandao mingine nifanye nn manake nikiweka lini za voda au airtel inaandika phone not allowed mm#6 ila tigo na halotel...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Kwa miezi kadhaa sasa watumiaji wa intaneti wamekuwa wakiongelea toleo jipya la PS4 ambayo inasemekana itakuwa ndogo zaidi kuliko toleo la hivi sasa iliyopewa jina la “Sony PlayStation 4 Neo”...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Naombeni mnisaidie simu ipi nzuri nina shilingi laki 4 (400000)
3 Reactions
83 Replies
14K Views
Inaniambia unable to start camera please turn on ur device access or reboot ur phone.... Ku reboot nahofu naweza poteza ma file yangu niliyo save kwenye simu....Naomben msaada kama kuna option...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Kwa nini simu za Xperia m2 zina heat(zinakua za moto) sana unapotumia
0 Reactions
6 Replies
784 Views
Good morning jamii forum. Sasa unaweza kwenda live kwa kutumia account yako ya Facebook. Yaani unaweza kushare na watu kile unachokifanya ukiwa live na marafiki wako wa Facebook wakakuona...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hiv hii hiOs inacrash kwangu tu au kwa wote daaa bora laki zangu mbili ningenunua obama zilizobaki ningenywea gambe tu najuuuuta kuifaham
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikuwa na scan kwakutumia 360security, ghafra screen imekuwa black and white. Msaada ndugu
0 Reactions
9 Replies
902 Views
Nawasalimu wadau, naomba kuuliza, juzi nilisimamishwa na trafic nikaambiwa nimeoverspeed kilometa 2 toka walipo na barabara ina kona na milima, nilipo wauliza wapi, jibu umepigwa touch kwa nyuma...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
1. Chukua smartphone yako au tablet yako 2. Nenda kwenye settings 3. Shusha chini kabisa itafute "About phone" au "About tablet" 4. Kisha bonyeza hiyo "About phone" au "About tablet" 5. Halafu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, Naomba msaada nikidawnload baadhi ya app kuptia play store huwa hazitokei natumia simu huawei 360y3.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…