SHUKURANI KWA MSAADA WA KITAALAM

SHUKURANI KWA MSAADA WA KITAALAM

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
226
Reaction score
267
Wakuu nimekubali kuwa JF ni kisima cha maarifa.
Napenda kutoa shukurani za dhati kwa wale walonisaidia kuweza kuweka yaliyomo (table of contents) kwenye makala yangu. Ni jana tu niliweka post yenye kuomba msaada wa namna ya kutenganisha yaliyomo na makala kuu (main body). Shukurani zangu za pekee ziwaendee Comrades Mediocrist, Mudhyd na Chief Mkwawa kwa ushauri wao ambao umefanikisha kufanya kazi yangu iwe nafuu. Nawatakia wanaJF wote tuwe na moyo huo ili kuijenga jamii yenye uelewa.nawasilisha
 
Back
Top Bottom