Nenda live kwenye Facebook

Nenda live kwenye Facebook

lovebitelol

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
964
Reaction score
972
1472098228310.jpg

Good morning jamii forum.
Sasa unaweza kwenda live kwa kutumia account yako ya Facebook. Yaani unaweza kushare na watu kile unachokifanya ukiwa live na marafiki wako wa Facebook wakakuona. Mwanzoni huduma hii ilianzia marekani lakini hivi majuzi imeweza kusamaa duniani.
Nadhani huduma hii umeletwa ili kushindana na snap chat ambayo kila siku imekua ikipata watumiaji wengi. Vilevile unaweza kuitumia kwenye events nyingi na marafiki wako wakajumuika na wewe kwa kutazama mfano, birthday, harusi, vikao, michezo na nk.
Jinsi ya kwenda live Facebook
1. Fungua Facebook yako
2. Kuwa kama unataka kuandika status yako then angalia chini unaona alama nyekundu iliyo andika " go live". Kama inavoonekana kwenye picha chini
3. Bonyeza kwenye go live then itakudirect uipe caption video then itakuonyesha chini kuwa uanze. Ukishanza itakuhesabia hadi tatu then utaanza kuruka hewani.
NB unatakiwa uwe na bando kwenye kifaa chako na Internet iwe na speed kidogo.
 
Nimeona mkuu na asante sana kutujuza na hasa mm sikujua kumbe ni kwenye Mobile (smart Pjone) ndio lamchezo hako kapo.
Nilisikia tu kwenye DW wakati huo Mwanamume MuAmerika alipigwa na askari Mzungu Mpenziwe akarekodi LIVE kupitia FACEBOOK
nikaitafuta sana SOMO hilo na hata kwenye PC sikuiona.
sasa nimefunguka ila naogopa kuwarushia LIVE friend's bora kwanza nijue kusave halafu baadaye nirushe
ngoja niingie darasani kwanza ulivyonielekeza
 
Usiogope kuwa smart then rusha live watu wakuone ndio faida ya mtandao
 
je tunaotumia laptop tunaipataje hiyo kiongozi wangu??????
 
View attachment 387205
Good morning jamii forum.
Sasa unaweza kwenda live kwa kutumia account yako ya Facebook. Yaani unaweza kushare na watu kile unachokifanya ukiwa live na marafiki wako wa Facebook wakakuona. Mwanzoni huduma hii ilianzia marekani lakini hivi majuzi imeweza kusamaa duniani.
Nadhani huduma hii umeletwa ili kushindana na snap chat ambayo kila siku imekua ikipata watumiaji wengi. Vilevile unaweza kuitumia kwenye events nyingi na marafiki wako wakajumuika na wewe kwa kutazama mfano, birthday, harusi, vikao, michezo na nk.
Jinsi ya kwenda live Facebook
1. Fungua Facebook yako
2. Kuwa kama unataka kuandika status yako then angalia chini unaona alama nyekundu iliyo andika " go live". Kama inavoonekana kwenye picha chini
3. Bonyeza kwenye go live then itakudirect uipe caption video then itakuonyesha chini kuwa uanze. Ukishanza itakuhesabia hadi tatu then utaanza kuruka hewani.

Umesomeka Mkuu
 
Back
Top Bottom