Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,364
- 1,315
Naombeni mnisaidie simu ipi nzuri nina shilingi laki 4 (400000)
Sante mkuununua lg g2 mpya au second hand note 3 kwa bei hio. roughly zina same specs kama full hd screen, sd 800 processor, 4g lte, nk
lg g2 ina ram 2gb na note 3 ni 3gb.
kuna jamaa anauza lg g2 humu kwa laki 3 na nusu na kaymu zipo nyingi tu around laki 4. just make sure tu band za 4g zinafanana na mitandao yetu.
Chief Mkwawa unaeza kunifafanulia kuhusu hizo band za 4g
Ok nimekuelewa kaka asante kwa ufafanuzi wakotigo- 800mhz
Ttcl- 1800mhz
smart- 2300mhz
ukiipata hio lg g2 nenda setting then about angalia aina yake zipo d800, d801, d802 nk
ukishajua hio aina nenda gsmarena halafu angalia specification za lg g2 utaona wameeka band za kila aina.
then angalia band kama zinafanana na mitandao yetu
Habar chief,samahan kwa kutoka nje ya mada Ila nlkua naomba kujua app ambayo itaniwezesha kuhifadhi miziki yangu mtandaoni ili ht km nknunua simu yenyewe iwe rahisi kuiback-upnunua lg g2 mpya au second hand note 3 kwa bei hio. roughly zina same specs kama full hd screen, sd 800 processor, 4g lte, nk
lg g2 ina ram 2gb na note 3 ni 3gb.
kuna jamaa anauza lg g2 humu kwa laki 3 na nusu na kaymu zipo nyingi tu around laki 4. just make sure tu band za 4g zinafanana na mitandao yetu.
app yoyote ya cloud inafanya hiyo kazi.Habar chief,samahan kwa kutoka nje ya mada Ila nlkua naomba kujua app ambayo itaniwezesha kuhifadhi miziki yangu mtandaoni ili ht km nknunua simu yenyewe iwe rahisi kuiback-up
Thanks chiefapp yoyote ya cloud inafanya hiyo kazi.
-google drive
-onedrive
-dropbox
-nk
Mkuu, marahisi kama hili ulilojibu uwe unaniachia najibu mimi... Hehe.. Mi ni mwanafunzi wako wa kimya kimya..app yoyote ya cloud inafanya hiyo kazi.
-google drive
-onedrive
-dropbox
-nk
Bei yake ni laki 4Nakushauri galaxy s5, angalia specs zake gsmnarena
Used sio mchosho kweli. Kwani dukani sh. NgapiUtapata used ndugu
Pouwa mkuu ata kaymu si pouwaAngalia jumia nafikiri hadi 500 hadi 700