Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Mara kwa mara simu hii aina ya nokia x ina display maneno haya
"Can't do this com.android.phone at the momment.''
Halafu inakata net na kujiwasha (simu haizimi ila network inapotea hala inatokea tena). Ikifanya hivo inamaliza chaji balaa.
Simu yaweza kuwa full chaji lakn ikifanya hivo mara tano chaji inakwisha hata bila kutumia.
Kwa anaejua utatuzi wa hili tatizo Msaada tafadhali