Wadau Yoyote anayetumia Internet ya TTCL anisaidie.

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
938
Reaction score
1,819
Wakuu kama kuna mtu anatumia internet ya TTCL naomba anipe speed yake hasa ya 3G ambayo hapa DSM ipo pia nimekua napata shida kwenye ku stream hasa mpira kwa sababu naona halotel wamenisaliti au mtandao mwingine wenye kasi tired of Halotel.
 
Cheza mbali na TTCL 3G speed ukizidi 3Mbps mshukuru Mungu!

Hawafanyi vizuri na 3G kabisa hao jamaa na 4G yao the more unapata Bars nyingi za network ndo hivo utapata speed kubwa zaidi and the vice versa!

Kwa hapa nilipo napata 0 zero Bar ila speed inaenda mpaka 8Mbps

HW1qAQ.png
 
Bando zao zimekaaje?
 
Wakuu kama kuna mtu anatumia internet ya TTCL naomba anipe speed yake hasa ya 3G ambayo hapa DSM ipo pia nimekua napata shida kwenye ku stream hasa mpira kwa sababu naona halotel wamenisaliti au mtandao mwingine wenye kasi tired of Halotel.
kuangalia mpira unahitaji ping nzuri, cheki vodacom mi natumia hio kuangalizia mpira

kitaalamu zaidi kama una smartphone download app ya speedtest playstore pima speed ya mitandao yote hapo kwako au kama ni pc ingia speedtest.net hakikisha ping ni chini ya 100ms na download speed angalau 500kbps
 
Daaa Halotel mwanzo ilikua poa sana asee.... Sasa ni majanga majanga ...
 
Huo matandao hakuna kabisa usijaribu kabisa weka mbali na familia
 
Daaa Halotel mwanzo ilikua poa sana asee.... Sasa ni majanga majanga ...
Kwangu, for download speed Halotel ndo bora kuliko wote!

Test I
Test 1.png

Test II
Test2.png

Test III
Test 3.png

Nikikuwekea screenshot ya mitandao mingine hapo unaweza kuhoji huwa naitumia wakati nikiwa na akili zangu timamu au wakati nimepiga ulevi!!
 
Back
Top Bottom