lucas more
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 108
- 27
Kwa nini simu za Xperia m2 zina heat(zinakua za moto) sana unapotumia
Jibu hayo maswali fasta tujue tatizo ni nnhiyo chaji ni yake?
Huwa unatumia huku unachaji?
Huwa unaacha data wazi pindi unachaji?
Ya ni chaji Yake.hiyo chaji ni yake?
Huwa unatumia huku unachaji?
Huwa unaacha data wazi pindi unachaji?
Labda tatizo lipo kwanguSio kweli mkuu, ninayo for 2 yrs haina hilo tatizo