Husseindominant
Member
- Apr 22, 2016
- 67
- 12
Mtu anae jua kuunda Windows image na kama kuna software ya kutengenezea mniambie nitashkuru
Hiyo image yako unataka iwe na extension gani? Kama ni ISO extension na una file zake unaweza kutafuta software yoyote yenye uwezo wa kutengeneza ISO kama vile PowerISOMtu anae jua kuunda Windows image na kama kuna software ya kutengenezea mniambie nitashkuru
Unaweza kunitumia email kwenye waheedsuday@gmail.com nikutumie PowerISOSasa mkuu nikiwa na download power iso zinahitaji registration nikiwa sina haziwezi kuperform kama kuna njia zaidi nisaidie
Tumia anytoiso itachange hilo folder zima la window kua imageMtu anae jua kuunda Windows image na kama kuna software ya kutengenezea mniambie nitashkuru
Kama iko kwenye CD tumia ashampoo.Mh si kutoka kwenye cd nataka iwe image
kama ipo kwenye cd tayari ni image, unachotakiwa hapo ni kuiripMh si kutoka kwenye cd nataka iwe image
google kms activatorAhsante kaka iko poa je naweza pata Windows 8 na Windows 10 activator universally