Hios ina crash

Hios ina crash

Ungesema na aina ya simu japo ishajulikana ni tecno...
 
Hiv hii hiOs inacrash kwangu tu au kwa wote daaa bora laki zangu mbili ningenunua obama zilizobaki ningenywea gambe tu najuuuuta kuifaham

hahahahahahha, lazima i-crash. Siijuhi product ya apple yenye thamani ya laki mbili, hiyo itakuwa ni takataka za China. apple ndio wenye os ya IOS
 
Sio IOS ni hiOs ya tecno
 
Hiv hii hiOs inacrash kwangu tu au kwa wote daaa bora laki zangu mbili ningenunua obama zilizobaki ningenywea gambe tu najuuuuta kuifaham
Tecno ni majanga.... Kila siku tunasema humu
 
Yaan umu wanaotumia tekno wanaonekana hawatumii simu
 
wakuu naombeni msaada nina simh yang samsung galaxy y gt s5360 nilikuwa nataka niipeleke android v4.4.4 nimedownload custom rom yake pamoja na root app yake na cwm recovery zote zikiwa katika mfumo wa zip
inshu ipl kwnye kuinstall from sd card kila nikiclick inaniambia failed to mount sd card je nifanyaje ili niweze update
nawasilisha
 
Tecno ni shida. Kuna moja ya jamaa yangu inaonrkana ina virus ea nne. Kila tukijaribu kuwaondoa hawaondoki.
 
Hiv hii hiOs inacrash kwangu tu au kwa wote daaa bora laki zangu mbili ningenunua obama zilizobaki ningenywea gambe tu najuuuuta kuifaham
Ni vema ukasema ni aina gani ya simu unayotumia ili tuweze kukusaidia na tuwasaidie na wengine kama wanunue au wasinunue.
Hata sisi wengine baadhi yetu tunatumia hizo simu zenye HIOS lkn hatujakutana na changamoto hizo.
 
W3lte
 
hahahahahahha, lazima i-crash. Siijuhi product ya apple yenye thamani ya laki mbili, hiyo itakuwa ni takataka za China. apple ndio wenye os ya IOS
Hahahaha huyu vipiii iphone yenyewe ulionayo ni 3gs....halaf unaongea na kwa taarifa yako ios ina crash na yenyewe sijui hio mpya ila mie nilitumia kwenye 5s ios8 ni shiidah.....ohoooo nishajua kumbe hujui kucrash ni nini
 
Bro hii sim hata kurooot ni mtihani ila sio kesi mwez wa kumi nitanunua sim nyingine

Flashing imerahisishwa na program ya WISELINK Tool, Ingia Hovatek , download rom ya simu yako.

Google namna ya kutumia wiselink ni rahisi mno
 
wakuu naombeni msaada nina simh yang samsung galaxy y gt s5360 nilikuwa nataka niipeleke android v4.4.4 nimedownload custom rom yake pamoja na root app yake na cwm recovery zote zikiwa katika mfumo wa zip
inshu ipl kwnye kuinstall from sd card kila nikiclick inaniambia failed to mount sd card je nifanyaje ili niweze update
nawasilisha
inabidi uflash bootloader yako ili uwezi kupdate kwa kutumia memory card.
 
Back
Top Bottom