Mulimila dole
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 226
- 267
WAKUU.
Ninaandaa document muhimu ambayo inahitaji kuweka yaliyomo (Table of contents). Nikiri kuwa mimi ni mtumiaji wa kiwango cha kawaida cha Ms office hivyo napata tabu kidogo katika hili.
Changamoto yangu ni kuwa natamani kuweka yaliyomo juu ya makala husika lakini nikijaribu kuweka najikuta maandishi ya ukurasa wa kwanza huhamia wa pili kadri maandishi ya table of contents yanapokuwa mengi.
Je kuna njia ya ku-fix yasi-move?
Nilichofanya kwa sasa nimehamishia ukurasa wa mwisho (Yaliyomo) japo najua sio proper. Naomba muongozo wenu wajuzi wa haya mambo.
Asanteni kabla
SHUKURANI
Wakuu nimekubali kuwa JF ni kisima cha maarifa.
Napenda kutoa shukurani za dhati kwa wale walonisaidia kuweza kuweka yaliyomo (table of contents) kwenye makala yangu. Ni jana tu niliweka post yenye kuomba msaada wa namna ya kutenganisha yaliyomo na makala kuu (main body). Shukurani zangu za pekee ziwaendee Comrades Mediocrist, Mudhyd na Chief Mkwawa kwa ushauri wao ambao umefanikisha kufanya kazi yangu iwe nafuu. Nawatakia wanaJF wote tuwe na moyo huo ili kuijenga jamii yenye uelewa.nawasilisha