Hello Wana JF Tech
Nimepata idea Moja Kwa vile Naweza Nunua Vitu kupitia Online Mfano Ebay na Aliexpress pamoja Na Alibaba Vikanifikia Je Ninaweza Kutumia Njia Hii Kununua Vitu Vingi Then Nikaja...
Naombaeni msaada wakuu. Nikitaka kuistall apps nilizotumiwa kwa cm transfer zinaniambia there was a problem of parsing this file kama sijakosea. Naombeni mnisaidie maana Nina files nyingi sana...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza...
Natengeneza BLOG ZA WORDPRESS kwa TZS 3,000/=(Elfu tatu tu) na kukufanyia settings zote za subdomain: mfano www.abc.wordpress.com.
Natengeneza Animated web banner,kwa wale wanaotaka kuweka...
wasalam wakuu
natumia samsung galaxy s3 ambayo haina stock app ya fm radio.... msaada kama kuna mtu anafaham app ya fm radio yenye frequency za radio za kibongo ambayo sio ya kustream online...
Naomba msaada on how to unlock simu.
Ilikua na pattern sasa mtu kaweka pattern na kukosea for more than 10 times and now the phone is askng for gmail username and siijui cz ckubadili google...
Wadau naomba msaada wa namna ya kutumia internet ya simu yangu kwenye PC kupitia wifi ya simu yangu kwani leo kwa mara ya kwanza nilikuwa nataka nitumie internet ya simu yangu kwenye PC kama...
Wakuu kuna simu hapa sumsung s6 inalaini ya halotel kila ukijaribu kucheck/Kuongeza salio au kupiga simu inaleta ujumbe "Phone not allowed MM#6" tusaidiane wakuu jinsi ya kutatua ili tatizo.
Salamu kwenu:
Binafsi si mzoefu ktk kutumia personal computer. Sasa kuna software ya window store iliyokwenye pc yangu.Tatizo kila nikijaribu kuifungua haifunguki....Na badala yake inaniandikia...
iPad,imac,macbook,Apple ipod en iwatch icloud unlock Available remotely world wide 100% working kasoro iphone pia nauza ipad Air 2Wi-Fi ipo katka good condition.0765-096851 Note:Again exept...
Wakuu Kwa yeyote anayehitaji responsive website na database ya kitu chochote kama shule, uhasibu, Rasilimali watu na nk, tupo hapa wataalamu wazoefu kabisa na gharama zetu ni nafuu kabisa piga...
Kwa wale wanaotaka Kufanya biashara ya hosting Pamoja na domain registration, Tunakupa server unlimited kwa gharama nafuu kabisa. Pia tuna design website na system mbalimbali kwa yeyote...
Nimetokea kupenda sana simu zenye projector lakini nataka kujua ni SAMSUNG tu ndio wanatoa hizo simu?? kama kuna kampuni jingine naomba kujua.Nimetumia SAMSUNG galaxy beam i8530 ila sikupenda...
Wakuu na Memberwajuxi mliobobea na mitandao w.w.w. kuna onyo linatembea kwenye Whatsapp kuwa wametoa siku 30 tu watumiaji waje wawe wameondia alama ya tiki katika settings za privacy kuwa hutaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.