Mrejesho; msaada kuhusu king'amuzi changu cha startimes

Mrejesho; msaada kuhusu king'amuzi changu cha startimes

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,048
Reaction score
1,342
Nimerudi tena waungwana, nashukuru kwa wale walionishauri kuhusu king'amzi changu cha startimes.

Nimeleta fundi ikaonekana decoda ndo mbovu maana haiwasiliani na dish maana yake haiditect singnal na taa ya kijani haiwaki pia maana alileta decoda nyngine ya dizaini hyo kikasoma vizuri

Nimeongea na customer care wao anasema niende makao makuu na mi nipo mkoani tena interior huku na makao makuu ni mbali

Kwa kuwa naamini hapa huwa hapaharibiki kitu nisaidieni kama kuna altenative ili nisolve tatizo langu

Ahsanteni!!
 
Back
Top Bottom