Msaada: Mwenye uzoefu ku-unlock simu

Msaada: Mwenye uzoefu ku-unlock simu

mpwakimeo

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
91
Reaction score
60
Habari wakuu, Nina jamaa yangu yupo Canada na anasema kuna simu nzuri na bei yake ni cheap. Ila hizo cheap phone ziko locked na network provider wa huko. Anasema mfano, simu nzuri unaweza kuta ni Canadian dola 200 na iko locked na certain network provider.

Ku-unlock simu kama hiyo kwa Canada inaweza cost mpaka Canadian dola 700. Sasa nataka nimuagize simu kama Lumia 950 XL halafu nifanye unlock hapa Bongo. Naomba kujua toka kwa wadau wenye uzoefu wa ku-unlock hivi vitu. Kwa simu kama hiyo unaweza unlock hapa kwetu?, na inaweza cost how much.
 
Inategemea na network iliowekewa lock. Lakini kwa model ya simu hiyo si chini ya U$ 30.
Ungekuwa unajua IMEI namba na network ungepata gharama halisi mkuu.
 
Back
Top Bottom