Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za jumapili wadau, nimevutiwa na solo la mobile application na ninaamini hii ni moja ya teknolojia inayoweza kukuingizia kipato. Ninaomba kufahamishwa endapo nitaamua. kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Tuwasiliane PM kwa majadilianao zaidi
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Habar zenu wana Jf. . Naombeni msaada wa kujua vitu gani na vinapatikana wapi na kwa kiasi gani kwa ajili ya geti la kutumia remote control
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani wakuu naombeni msaada wa kujua ni software gani ya PC naweza itumia convert mp4 files kwenda DAT files coz nataka kuburn CD ya video lakini kila nikiweka nyimbo za mp4 kwenye ashampoo...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Hello Guys Kama Kuna Mtu Yupo Ni Mtaalamu wa Apps za Simu Android na Ios. Naomba Anipm Nataka kama Ikiwezekana Anitengenezee Apps Nzuri kwa Ajili ya Biashara ya Bidhaa .. Apps Kma Vile Ebay...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
nahitaj kubadlisha ID yangu humu JF nifanyeje wakuuu
0 Reactions
3 Replies
734 Views
wakuu nawezaje kuunganisha smart phone yangu aina ya LED samsung na smartbphone yangu....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu wakazi mi ninaswali kidogo hivi kutofauti yoyote kati ya ipad na computer za kawaida
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Discovered using the Kepler Telescope, Kepler-186f isn’t exactly an Earth twin. The planet is very similar in size – within 10-percent of the Earth’s size – but it orbits its star, a red dwarf...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Da wakuu sikujua kumbe Kuna namna ya kushare internet kupitia smartphone na desktop yako, na ukafurahia namna mchina anavyoturahishia Maisha. Hii ni njia rahisi Sana Tena Bila kupitia Bluetooth na...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wadau, Naomba kwa anaye jua jinsi ya kublock number ya cm, nataka akipiga ikate juu kwa juu isiseme number inatumika.. Natumia techno y6.
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Naomba msaada jinsi ya kucheza PES16 online...au kwa mwnye hiyo game iliyo full cracked naomba msaada.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wale wa zte modems ambao wanatafuta software ya kupiga na kupokea simu na hata kuingiza vocha na pia mms pakueni hapa Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu nina document nataka nizitume sehemu sasa najiuliza Simu yangu ina Camera Nzuri je naweza Kupiga Picha? Ili nizibadilishe ziwe katika mfuno wa PDF kisha nikazituma? Vipi kule akitaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Guys nina Lenovo Laptop yenye specifications zifuatazo: Processor: Intel(R) Celeron(R) CPU N2840 @2.166GHz 2.16GHz RAM: 2 GB System Type: 64-bit OS: Windows 8.1 In short hii Laptop ni pasua...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Nina laptop yangu case (housing) yake imeisha, Kwa yeyote mwenye case ya Toshiba settilite 650 tuwasiliane wakuu 0687535650
0 Reactions
4 Replies
697 Views
anaefahamu activation code ya windows 8.1 jamani naomba anisaidie au jinsi ya ku activate hiyo window please wakuu maana kila mara napata ujumbe wa kuactivate window kwa maana hiyo product key yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kubadili jina na kufuta post humu jf
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda leo asubuhi nimewasha simu yangu nikakuta imeweka wino kwenye kioo naomba mnisaidie kutambua tatizo kama linavyoonekana hapo kwenye picha
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Samsung is recalling its new Galaxy Note 7 smartphone worldwide after reports of the device catching fire while charging. The recall of one of Samsung Electronics' flagship devices is an...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom