Msaada: Clipboard ipo wapi kwenye simu yangu ya Samsung?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,394
Reaction score
17,771
Natumia galax s3. Nilicopy kitu namaambiwa "copied in clipboard. Kila nikitafuta nilichokicopy sikioni kwenye cm. Hii clipboard iko wapi kwenye cm yangu?

ushamba kweli mzigo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] clipbrd hiyo ni sehem ambapo data huifaziwa kwa muda pale mtumiaji wa device anapotaka kuikopi kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Na wala si kitu cha ajabu kama uhisivyo.

Wewe nenda sehem yeyote paste kitu chako kitatokea.

Tukisema kuwa ni KWA MUDA maan yake ikitokea ukakop kingine cha mwanzo kinatolewa au kuzima simu kinapotea

[quote uid=40281 name="Ziroseventytwo" post=17406083]Natumia galax s3. Nilicopy kitu namaambiwa "copied in clipboard. Kila nikitafuta nilichokicopy sikioni kwenye cm. Hii clipboard iko wapi kwenye cm yangu?

ushamba kweli mzigo[/QUOTE]

Ha!ha!ha! Nime test hapo juu poa kabisa ahsante mkuu merengo90

[quote uid=40281 name="Ziroseventytwo" post=17406083]Natumia galax s3. Nilicopy kitu namaambiwa "copied in clipboard. Kila nikitafuta nilichokicopy sikioni kwenye cm. Hii clipboard iko wapi kwenye cm yangu?

ushamba kweli mzigo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] clipbrd hiyo ni sehem ambapo data huifaziwa kwa muda pale mtumiaji wa device anapotaka kuikopi kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Na wala si kitu cha ajabu kama uhisivyo.

Wewe nenda sehem yeyote paste kitu chako kitatokea.

Tukisema kuwa ni KWA MUDA maan yake ikitokea ukakop kingine cha mwanzo kinatolewa au kuzima simu kinapotea[/QUOTE]
Sorry mkuu. Nilikuwa offline kidogo. Ahsante kwa majibu yako, sasa nikikopi kitu nikitaka kukiona nakiona wapi. Bado sijaele.

Ukitaka kukiona unaenda sehemu ambayo ulitaka kuki-paste ukibonyeza sehem unayotaka kupaste itatokea neno Paste so ukikubali kitakuja kile ambacho uliambiwa kipo copied to clipboard.

Mfano umecopy url kutoka instagram ukienda kwenye browser yako ukibonyeza sehem ya kuandikia iliyo tupu litakuja neno paste hapo utapaste ile url uliyokopi insta.

Back
Top Bottom