Software unaweza soma online tu haina shida... Kwa hardware tafuta wataalam tu hata jf wapo...Habarini wapendwa,naomba mwenye ufahamu wawapi naweza kusomea ufundi simu,software na hardware,gharama ya course n.k.nipo dsm
Asante sana mkuu1. jifundishe basics za vitu vyote vya simu angalau ujue hata maana zake tu kuanzia display, usb, soc, motherboard, battery, charger etc
2. mfanye ifixit kuwa rafiki yako hawa jamaa kila simu inayotoka wanaifungua na kuifunga nakuelezea urahisi na ugumu wa utengenezaji simu husika.
iFixit: The Free Repair Manual
sidhani kama kuna course za ufundi simu, internet ndio itakuwa mwalimu wako